Rapper huyo wa kike kutoka Kenya ameachia video yake mpya ya ‘Jah
Baada ya kupita miaka mingi kukosekana msanii wa kike ambaye anaweza kukalia kiti cha Nazizi – sasa ameonekana kupatikana naye ni Femi One. Rapper huyo wa kike kutoka Kenya ameachia video yake mpya ya ‘Jah’ iliyoongozwa na director kutoka Zambia, Qbick akishirikiana na Lawdak. Tazama video hiyo hapa chini.
Post a Comment