Header Ads

Rais Magufuli ateua makatibu tawala

Rais Dkt. John Magufuli leo amemteua, Ado Mapunda kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara
Image result for picha ya raisi magufuli

Taarifa ya Ikulu Jijini Dar es Salaam imesema Ado Mapunda anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Benedict Ole Kuyan ambaye amestaafu.
Pia, Rais Magufuli amemteua Tixon Nzunda kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa.
Tixon Nzunda anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Symthies Pangisa ambaye amestaafu.
Tarehe ya kuapishwa kwa Makatibu Tawala wa Mikoa walioteuliwa itatangazwa baadaye

No comments