Header Ads

Mtoto mwenye umri wa miaka saba mkoani shinyanga inasadikika amaingiliwa kimaumbele na baba yake wa kambo.

                                                                                                        
Mtoto mwenye umri wa miaka saba mkoani shinyanga   inasadikika amaingiliwa kimaumbele na baba yake wa kambo.




Image result for picha ya shinyanga






Akinzungumza na KALI ZOTE BLOG mtendaji  wa kata ya old shinyanga  jana mtoto huyo amesema kwamba baba huyo alimwingilia kimaumbile  wakati mama yake alikuwa amekimbia mara baada ya baba yake wakambo  kumshushia kipingo mama yake na kukimbia ndio akapata chansi ya kufanya kitendo hicho cha kinyama


Kwa upenda wake mama mzazi wa mtoto huyo ambae jina lake limeifadhiwa amesema kuwa mala baada ya kuludi  nyumbani kwake ndio mwanae alimwambia tukio alilofanyiwa  siku ya jumapili husiku akamuita mume wake ili kumuuliza kuhusu mwanae alivyo mwambia ila baba huyo  hakuonyesha ushilikiano  wowote na kisha kutokomea pasipojulikana



Aidha doctor mfawithi wa hospitali ya rufaa ya  mkoa wa shinyanga MANGUJA DANIEL amesema kuwa hawezi kuweka bayana kuthibitisha wazi kuwa nikweli au sikweri mtoto huyo ameingiliwa na matu kwani tarifa hiyo ni ya siri kwa hiyo wahezi kuweka bayana jambo hilo 

No comments