wards ya ndembezi kukomeha utoro kwenye shule zote za katani hapo
wards ya ndembezi kukomeha utoro kwenye shule zote za katani hapo
Kikao cha
kamati ya maendeleo (WADC) kata ya Ndembezi katika manispaa ya Shinyanga
kimeweka mikakati ya uboreshaji wa elimu
katika shule zote za msingi na sekondari zilizopo katika kata hiyo.
Mikakati
hiyo ni pamoja na kukomesha utoro kwa wanafunzi,kuchangia chakula cha
wanafunzi, na walimu kuhakikisha wanatoa mazoezi na majaribio ya marakwamara ili kuongeza kiwango cha ufaulu.
Diwani wa
kata ya Ndembezi DAVID NKULILA amewaomba wazazi na walezi kuonyesha ushirikiano
katika utekelezaji wa mikakati hiyo kwa kuhakikisha wanotoa michango yote
inayotakiwa kwa mujibu wa makubaliano.
Post a Comment