CUF wamvaa Mkurugenzi wa uchaguzi Kinondoni
HABARIna sylass
Chama Cha Wananchi CUF Kupitia kwa Kaimu Katibu Mkuu wa Chama hicho, Magdalena Sakaya kimesema zipo hujuma ambazo zinafanywa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Kinondoni dhidi ya Chama hicho: Tazama video hii Sakaya akieleza.
Post a Comment