Header Ads

Ikiwa umebaki muda mfupi kabla ya kuanza kwa mchezo wa Mwadui FC dhidi ya Simba katika uwanja wa Kambarage



Ikiwa umebaki muda mfupi kabla ya kuanza kwa mchezo wa Mwadui FC dhidi ya Simba katika uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga, vikosi vya wachezaji wa timu zote mbili wamewekwa hadharani.
Kwa upande wa Mwadui wachezaji wao watakaoanza katika mchezo huo ni Anold Massawe, Revocatus, David Luhende, Joram Mgeveke, Iddy Mfaume, Awesu Awesu, Jean-Marie Girukwishaka, Paul Nonga, Evarigestus Mjwahuki, Miraji Athuman.
Wachezaji wa akiba ni Denis Dionis, Morice Malaki, Yassin Salum, Anthony Matogolo, Athuman Rajabu, Gerard Mathias, Jackson Salvatory.
Wakati huo huo kikosi cha wachezaji wa Simba ni Aishi Manula, Shomari Kapombe, Mohamed Hussein, Juuko Murshid, Yusuph Mlipili, Erasto Nyoni, Shiza Kichuya, Said Ndemla, Emmanuel Okwi, John Bocco, James Kotei.
Wachezaji wa akiba ni Emmanuel Mseja, Ally Shomary, Laudit Mavugo, Nicholas Gyan, Mwinyi Kazimoto, Mzamiru Yassin, Paul Bukaba.

No comments