Wazazi na walezi mkoani tabora, wa kumbushwa kuwa sajili watoto wao katika maktaba ya mkoa
Wazazi na walezi mkoani tabora, wa
kumbushwa kuwa sajili watoto wao katika maktaba ya mkoa ili wapate maarifa na
mbinu mbalimbali za kujibu mitihani yao
ya kitaifa.
Akizungumza na redio uhai fm ofisini
hapo ,MKUTUBI MSAIDIZI BI
TATU MIRAMBO, amesema kuwa mwamko wa wazazi na walezi juu ya faida
zitokanazo na maktaba bado hawazi tambui,
hivyo ina pelekea wanafunzi kuto kuuzulia katika maktaba ya mkoa, pia
wazazi na walezi wanaomba kutambua umuhim wa maktaba kwa wanafunzi .
Kwaupande
mwalimu wa shule ya msingi mageleza bi
KHADIJA MGAWE HUSENI amsema kuwa maktaba inamchango mkubwa kwa jamii na wanafunzi kwa ujumla, hivyo wazazi na walezi
tuwajengee watoto kwenda kusoma katika
maktaba ya mkoa kwani inamanufa katika elim Maktaba ya mkoa wa tabora
ilianzishwa mwaka 1974, maktaba ya mkoa ni maktaba ya uma ambayo inatoa uduma
kwa jamii nzima bila kubangua umri wala dini na kwasasa inakubwa na changamoto
ya ukosefu wa vitabu vya mtahara wa sasa
Post a Comment