Wananchi wa mtaa wa miogoni kata ya mbugani mkoani tabora wanaomba serikali kuwatengea sehem ya kutunzia taka
Wananchi wa mtaa wa miogoni kata ya
mbugani mkoani tabora wanaomba serikali kuwatengea sehem ya kutunzia taka ili waondokane na kero ya uchafu wanao ipata
katika mtaa wao.
Wakizunguma na KALI ZOTE BLOG leo , wananchi wa mtaa wa miogoni wamesema kuwa kawasasa hawana sehemu ya
kutupa taka haliambayo inasababisha kutupa taka pembezoni mwa leri ielekeayo
kigoma, hali ambayo si salama kwa mazingila na afya zao, hivyo wanaiomba serikali kuanzia ngazi ya mtaa hadi serikali
kuu kuwa wa saidia kutatua jambo hili kwani limekuwa ni mzozo kwao lini watapa sehem hiyo.
Kwa upande wake mwenye kiti wa mtaa
wa miogoni kata ya mbugani BW ELICK SHABANI amekanusha madai hayo ya wananchi wake
kudai kuwa hakuna sehem ya kutupa taka
amesema kuwa kwasasa maeneo teyali ya mesha tengwa nayapo mawili ni kalibia na kanisa la
F.P.C.T rufita lilopo mtaa wamiogoni mkabala na shule ya msingi miemba , hivyo amewataka wananchi kujijengea tamaduni za kutunza mazingila yao wanapoishi .
Aidha ametoa onyo kali kwa
wananchi wote wa mtaa wa miogoni kata ya
mbuga kwa wale wote watabainika kutupa taka pembezoni mwa leri hatua kali za kisheria zita chukuliwa dhidi
yao ikiwemo faini ya shilingi elfu hamsini au kupelekwa mahakamani.
Post a Comment