CHANZO CHA USALITI
1;TAMAA
Kuna watu wana hulka tu binafsi ya kutoweza kuwa na mpenzi mmoja hivyo
ni vema kufahamiana zaidi kabla ya kuamua kuingia katika mahusiano fanya uchunguzi kwanza kwamtu unae ingianae kwenye mausiano pia jiulize huyo mtu atakuwa wa maisha au wamuda , kuna watu wengine wanaingia kwenye mausiano na mtu kutokana kazi aliyo nayo au wadhifa alio nao hii ni atari kwani kila kitu nidhama
Wanasayansi pia wamethibitisha kuwa inawezekana kabisa mtoto kurithi
tabia mojawapo toka kwa mzazi.
2;SIFA AU UMAARUFU
Hii hutokea kwa aina ya watu ambao huona sifa kuwa na wapenzi tofauti na
wanaume kutaka kuonyesha ana nguvu na hata mamlaka juu ya wengine.
Utasikia mimi pale tayari na hamna kitu akihadofthia wenzake. Na pia
wanawake hona fahari kuwa na watu maarufu,wenye fedha,cheo na yeye
kujigamba khwa mtu flan maarufu kamuweka mfukoni.
3; KUTOLIDHISHWA KIMAHABA
Hali hii hutokea zaidi kwa wanawake kwa sababu ya maumbile yao kiasili
ingawa pia wanaume pia hutokea.
Katika hili wote mnatakiwa kuwa wabunifu
na kujua mpenzi wako anapendelea nini,mjitahidi kuwa wasafi na mkiwa
mnataka kukutana basi muwe wote na utulivu wa akili na bila kusahau kula
vyakula vya kuongeza nguvu mwilini.
4;TAMAA
Hapa tunaongelea mahitaji mbalimbali ya kimaisha kama
fedha,nguo,chakula,cheo nk.
5;KULIPIZA KISASI
Hili hutokea mmoja wa wapenzi anapogundua mwenzi wake kamsaliti basi
naye huamua kama moja ya njia ya kupunguza machungu ni kutoka nje ya
mahusiano na hapa utakuta anaweza fanya mapenzi na hata rafiki wa karibu
kwa lengo la kumkomoa
6' MAPENZI YA KUIGA
watu wengi hawana mapenzi ya kutoka moyoni badala yake wanakuwa wakuiga kwenye runiga au bongo movi haya mapenzi hamuwezi fika popote badala yake yatakuwa ya migogoro kilasiku
katika maisha kabla ujaamua kufanya kitu chocho jifikilie kwanza kabla ujafanya maamuzi ya kuingia kwenye mausiano ,watu wengi wanapotiza maisha kujiua au kumdhulu mtu kwasababu ya usaliti ,
fikilia kwanza kabla ujaingia kwenye ulimwengu wa kimapenzi ukiona mda wako si sahii kuingia kwenye mapenzi sylas denniss na kushauli acha kwani utapoteza mda badala yake fanya vitu ambavyo vitakuwa kwako vina faida kubwa
nakama unaona nimuda sahii kuingia kwenye mausiano basi ingia. katika maisha ya mwanadamu tuna jua kuwa kilamtu anasifa zayule anae muitaji kama unaona huyo ulienae anasifa unazo taka basi azishanae safari hiyo ila mimi sylas dennis nakushauli usimdaganye huyo ulienae kwachochote wala usipende kujisifia kwa vitu ambavyo hauna uwezo navyo mwaidi kitu ambacho unavyo viweza kumfanyia
maoni yakoa yatume kenye namba 0742692079
Post a Comment