Rapper kutoka nchini Afrika Kusini, Cassper Nyovest huenda akapita juu ya mdundo wa producer kutoka Marekani
Rapper kutoka nchini Afrika Kusini, Cassper Nyovest huenda akapita juu ya mdundo wa producer kutoka Marekani, Swizz Beats mara baada ya kuonekana studio wakiwa pamoja.
Wote wawili wame-share picha na video katka kurasa zao za mitandao ya kijamii na kuweka caption zinazohashiria kuna ngoma unakuja.
When you’re planning to do a song with Swizz Beatz but he doesn’t know it yet. Hahahaha !!! This picture is hilarious!!!Zone talk with@casspernyovest y’all know the cook up is coming !!!!!
Post a Comment