washangiliaji wa mwadui fc mkoani shinyanga wafrahi simba kukosa point tatu
kuanza kwa mchezo wa Mwadui FC dhidi ya Simba katika uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga, vikosi vya wachezaji wa timu zote mbili wamewekwa hadharani.
katika mechi SIMBA FC na MWADUI FC mbili vumbi imetokea katika viwanja kambarage simba kaunguruma kwa sauti kubwa ili kumtisha mwadui fc lakini mwadui fc hawaja tishwa na mngurumo wasimba
SIMBA FC NA MWADUI FC YATOKA SALE KWA MABAO 02-02
washinyanga wafrahi simba kukosa point tatu
https://sylasdennis.blogspot.com/2018/02/ikiwa-umebaki-muda-mfupi-kabla-ya.html#more
Post a Comment