nguvu ya chadema yapungua
Hayo yamethibitishwa na Mkurugenzi wa Itikadi, Mawasiliano na Mambo ya Nje- CHADEMA
John Mrema na kusema ni kweli Diwani wao ameuliwa akiwa nyumbani kwake jana (Alhamisi).
"Ni taarifa za kweli aliuwawa jana Luena majira ya saa 1 usiku kwa kukatwa katwa
mapanga akiwa nyumbani kwake na watu wasiojulikana. Mpaka sasa hatujaelewa
chanzo cha kifo chake kwa kuwa kilitokea usiku lakini tumekwisha toa taarifa kwa
Jeshi la Polisi na walienda eneo la tukio wakasema watafuatilia", amesema Mrema.
Kwa upande mwingine, Mrema amesema kama chama bado wanafuatilia tukio hilo kwa
ukaribu ili waweze kubaini chanzo cha tukio hilo ni nini pamoja na aliyehusika na mauaji
hayoDiwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kata ya Namwawala
wilaya ya Kilombero Godfrey Luena ameuwawa kwa kukatwa katwa na mapanga na watu
wasiojulikana usiku wa kuamkia leo.
Post a Comment