waumini wa kanisa la kanani mwanza road tabora ni wateule wa mungu
Waumini
wakanisa la evenjelistic assembles of god
Tanzania kanani mwanza road tabora waombwa kuishi maisha ya utakatifu
sikuzote za maisha yao kwani wao ni wateule wa mungu.
Akihubili
katika kanisa la kanani e.a.g.t kwenye
maziwa na hasali mwinjiristi GEORGE
KAMLENGA kutoka kanisa la E.A.G.T sayuni wilayani urambo ,amewataka waunini
wakanisa hilo kuishi maisha ya utakatifu na kuepuka kuishi maisha ya watu
wamataifa
Bw KAMLENGA wahasa waumini wakanisa hilo
huku akinukuu maandiko matakatifu kutoka kenye biblia WAKOROSAI 3.12. 15 amesema
kuwa huwezi kuitwa mteule wamugu kama hauna upendo,uvumilivu,utuwema,kujaliana
na kutembeleana kama hauna vitu hivyo uwezi kujita mwana mteule wa mungu.
Aidha
amewahasa waumini wa kanisa hilo kuwa na upendo kwa watu wote maana amri ya
kwanza ni upendo hivyo wajenge tabia ya kupendana wao na wapende hata watu
ambao hawaja mwamini yesu kuwa bwana na mwokozi wao ili watu wataifa waige
tabia njema kwa wateule wa mungu.
Post a Comment