Header Ads

Msanii mpya wa kike kutoka THT, Marissa ameichia wimbo wake mpya unaitwao ‘Ukarond

Msanii mpya wa kike kutoka THT, Marissa ameichia wimbo wake mpya unaitwao ‘Ukaronda’ ambao umetayarishwa na Producer Ema The Boy. Marissa pia ni mjukuu wa msanii wa zamani wa muziki, Mbaraka Mwinshehe.


No comments