Rais wa FIFA Infantino akilibishwa Tanzania
Tanzania itaingia katika madaftari ya historia wiki hii, wakati itakapokuwa mwenyeji wa mkutano wa kihistoria wa shirikisho la kandanda duniani FIFA
Mkutano huo wa kilele utakaoongozwa na Rais wa FIFA Giani Infantino ukiwa na kauli mbiu ya ‘Kurejesha Kandanda kwa FIFA na FIFA kwa kandanda' unalenga kuimarisha mahusiano kati ya FIFA na mashirikisho yake. Bruce Amani amezungumza na Rais wa TFF Wallace Karia
Post a Comment