Header Ads

kupotea kwa fedha nchini Tanzania umechukua sura mpya baada ya Rais wa Tanzania Dokta John Magufuli


Image result for Dokta John Magufuli
kupotea kwa fedha nchini Tanzania umechukua sura mpya baada ya Rais wa Tanzania Dokta John Magufuli kuwasimamisha mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali na katibu mkuu wizara ya fedha na mipango kueleza kuhusu ukweli wa swala hilo.
Maofisa hao wa serikali waliposimama walikanusha kuwa hakuna upotevu wa fedha hizo
Kwa siku kadhaa sasa nchini Tanzania kumekuwepo mjadala mkali kuhusu kile kinachodaiwa kuwa ofisi ya mkaguzi wa hesabu za serikali ilibaini utata kuhusu matumizi ya Sh.trilioni 1.5 sawa na dola milioni 650.
Wakati mwanasiasa wa upinzani Zitto Kabwe akitaka ufafanuzi kutoka serikalini kuhusu matumizi ya fedha hizo, viongozi wa chama tawala, CCM na serikali wamekuwa wakisisitiza kwamba hakuna upotevu wowote wa fedha hizo uliotokea.

Mapema leo hii katika hafla ya kuwaapisha majaji wapya ikulu ya Dar es Salaam, Rais Magufuli alisema kinachoendelea kwa sasa ni upotoshaji wa makusudi kwa umma kuhusu sakata hilo

STAHILI MPYA ZA KULIMA SHAMBA ANGALI HAPA


No comments