Header Ads

Tazama A to Z ya mazishi ya Agness Masogange kijijini ANAVYO ZIKWA


Image result for Agness Masogange
Leo Aprili 23, 2018 mamia ya wakazi wa mkoa wa Mbeya wamejitokeza kuuaga mwili wa aliyekuwa Video Vixen, Agness Masogange katika kijiji cha Utengule. Ambapo watu maarufu na viongozi wa serikali akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla.


No comments