Header Ads

Dereva agonga na kuua watembea kwa miguu 10

Polisi nchini Canada wanamshikilia na kumhoji kijana wa miaka 25 anayedhaniwa kuhusika na tukio la kugonga watu na kuua 10 huku akijeruhi 15 kwa gari lililokuwa limekodiwa.
Inaelezwa kuwa tukio hilo limetokea jijini Toronto ambapo gari hilo liligonga watu hao 25 ambao walikuwa ni watembea kwa miguu barabarani.
USHAULI WA MPOKI KWA vijana na wanaume kuhusu kuwapa mimba watu walio changayikiwa kiakili tanzama hapa sylas tv


No comments