Header Ads

George Bush alazwa hospitali


Image result for George H.W. Bush

Rais wa zamani wa Marekani, George H.W. Bush, anatibiwa kutokana na matatizo ya maambukizi katika damu kuanzia jana, siku moja baada ya mke wake Barbara kuzikwa. 

Taarifa ilisisitiza kwamba Bush mwenye umri wa miaka 93 alikuwa anapata nafuu, baada ya kufikishwa katika hospitali ya Methodist mjini Houston mapema siku ya Jumapili.Mkewe, Barbara Bush, aliyekuwa na umri wa miaka 73 alifariki siku ya Jumanne na kuzikwa katika mji huo ulio kwenye jimbo la Texas. 

Rais huyo wa Marekani wa 41 alisalimiana na kushikana mikono na watu kadhaa waliokuwepo kwenye maziko ya mkewe, yaliyohudhuriwa pia na marais wanne tu wa zamani , ikiwa ni pamoja na yeye binafsi pamoja na mtoto wake George W. Bush.

tabora ya zidi kumtukuza mungu angali video 
hapa chini

No comments