Header Ads

KUTOKA LEADERS: Mwili wa Agness Masogange unavyoagwa






Muda huu kupitia  Hospital ya Taifa ya Muhimbili ambapo mwili wa Agnes Gerald ‘Masogange’ unatolewa Muhimbili ambapo utaagwa leo katika viwanja wa Leaders Club jijini Dar es Salaam, na kisha kusafirishwa kwenda kwao Mbeya kwa ajili ya mazishi.




Masogange alifariki dunia Ijumaa April 20 saa 10 jioni kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya ‘pneumonia.
angalia hapa chini


No comments