Header Ads

Baada ya kimya cha miaka minne hatimaye staa wa filamu za mapigano Bongo, Jimmy Mponda aka J Plus ameachia filamu yake mpya ya iitwayo ‘The Foundation’.

Baada ya kimya cha miaka minne hatimaye staa wa filamu za mapigano Bongo, Jimmy Mponda aka J Plus ameachia filamu yake mpya ya iitwayo ‘The Foundation’.

img-20160712-wa0001

Naamini kuwa mlipenda sana filamu zangu zilizo pita like ‘Misukosuko’ Shamba kubwa, na zinginezo hivyo naomba muipokee “The Foundation” coz ni kazi nzuri sana ukweli nimeitendea haki yake,” J Plus ameiambia Bongo5. Tazama hapa chini trailer ya filamu hiyo.

No comments