Header Ads

Diamond Platnumz KUTIKISA FRICA

Diamond Platnumz  KUTIKISA FRICA


Tuzo za All African Music (AFRIMA) Zimefanyika jijini Lagos nchini Nigeria usiku wa kuamkia leo na Diamond Platnumz Star wa single ya Kidogo yenye collabo na Mastaa wa P Sqaure, ameibuka mshindi wa jumla ya tuzo tatu, akiwa anaongoza kwenye list za washindi wote.
Leo November 7, 2016 Diamond Platnumz amepost kwenye page yake ya Instagramakiwashukuru mashabiki na wote waliompigia kura zilizomfanya kushinda tuzo tatu.Image result for PICHA YA WEMA SEPETU



Hii ni post ya Diamond Platnumz maalumu kwa watanzania na mashabiki wake duniani nzima.
VIDEO: Ipo hapa Performance ya Diamond Platnumz kwenye usiku wa tuzo za MTV MAMA 2016, J’Bourg Afrika Kusini




Ukaribu wa mastaa Wema Sepetu na Diamond Platnumz unazidi kuzichukua Headlines kila siku. Mastaa hawa wamekuwa wakiweka post ambazo zimekuwa zikiongeza maswali kwa mashabiki ambao wanahoji sababu za wao kufanya hivyo wakati waliwahi kuwa kwenye ugomvi baada ya kuachana.
Leo November 7, 2016 Mrembo Wema Sepetu ameweka post ya kumpongeza Diamond Platnumz baada ya kushinda tuzo tatu za AFRIMA2016 zilizotolewa jijini Lagos, Nigeria usiku wa kuamkia leo.
Post ya pongezi ya Wema Sepetu kwenda kwa Diamond Platnumz


No comments