Header Ads

Raymond ameachia video mpya ya wimbo unaitwa “Sugu

Msanii kutoka WCB, Raymond ameachia video mpya ya wimbo unaitwa “Sugu”, wimbo huu ni wakitambo ulifanya vizuri mmiliki wa ngoma hiyo alikuwa ni Mh. Joseph Mbilinyi ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Mbeya Mjini. Ndani ya video hiyo ameonekana mbunge huyo.


No comments