Header Ads

SABABU ZA WA SICHANA KUWAPENDA WANAUME WAREFU

SABABU ZA WA SICHANA KUWAPENDA WANAUME WAREFU

Image result for PICHA ZA WASICHANA



Bila shaka umeshawahi kusikia minong’ono kuwa wanaume warefu wana mvuto mkubwa kwa wanawake tofauti na wenzao wafupi. Bila shaka umewahi kuisikia hii kwa baadhi ya wanaume wakikiri kuwa wanaume warefu wanakubalika kirahisi kwa wanawake.
Nimelazimika kufanya utafiti wa kisomi ili kuona kama kuna ukweli wowote au ni maneno tu ya mitaani; aidha nikajaribu upande wa pili kwa maana ya kuzungumza na wanawake ili nisikie wenyewe wanachosema, wengi wamekiri kuwa wanaume warefu wana mvuto sana.
Baadhi yao wanadiriki hata kusema kwamba huwa wanatamani kuwatongoza, shida ni mila na desturi za kwetu haziruhusu mwanamke kumtongoza mwanamume, mwingine akaniambia kuwa wanaume warefu wengi wao wanajiamini zaidi kuliko wafupi.
Pia watu warefu wanajikubali sana, wapo wengi tu wanaokubali kuwa wanaume warefu wanakuwa ni wenye mvuto...je, wewe una maoni gani?
Mtafiti mkongwe katika masuala ya mapenzi duniani, Fisher, Helen katika kitabu chake alichokipa jina Why We Love yaani kwa nini tunapenda, kilichochapishwa Marekani (ISBN 0-8050-6913-5), anasema kuna ukweli juu ya jambo hili.
Anasema imani ya wanawake wengi ni kwamba wanaume warefu wana mwonekano mzuri. Pia kina dada wanajiona wako salama zaidi wanapoongozana na mtu mrefu tofauti wakiongozana na mtu mfupi.
Ingawa wengine wanahusisha urefu wa mwanaume na urefu na viungo...lakini kuwa na fimbo kubwa na mwingine kuwa na fimbo ndogo, haina maana kwamba mwenye fimbo kubwa atampiga mwanafunzi akaumiza zaidi kuliko mwenye ndogo...hapa ni suala la ujuzi.
Image result for PICHA YA WASICHANA



Kufikiri kwamba wanaume warefu ni bora kwa sababu ya urefu wao, huenda ni imani isiyo sahihi sana, ingawa kwa kiasi ina ukweli hasa katika kimo cha mtu...mara nyingi urefu wa vidole vya mwanaume vinaweza kukupa mwelekeo wa urefu wa kwingine.
Msomi Simpson, John, ed. (1989 toleo la pili), kitabu maalumu kuhusu umbo la mwanaume, kilichochapishwa na Chuo Kikuu cha Oxford University anasema kwa kiasi fulani huwezi ukawa na vidole vifupi, halafu ukatudanganya kuwa kwingine kutakuwa kurefu, ni ngumu!
Aidha Ponchietti R, Mondaini N, BonafĂ‹ M, Di Loro F, Biscioni S, Masieri L (2001) katika kitabu chao kiitwacho “Penile length and circumference’ kinachozungumzia maumbile ya wanaume na utahiri, kilichochapishwa Italia, wanasema udogo au ukubwa wa chochote hauna maana kama ndio kitakuwa kizuri au kibaya; kuwa na sura mbaya haina maana una roho mbaya wala kuwa na sura nzuri haina maana una tabia nzuri.
Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume walio warefu...achilia mbali baadhi ya wanawake kupenda kwa sababu ya fedha, kisaikolojia wanajisikia fahari kuwa na mwanaume mrefu.

No comments