Header Ads

Spika wa zamani wa bunge la Tanzania Samwel Sitta amefariki dunia akipokea matibabu nchini Ujerumani.

Spika wa zamani wa bunge la Tanzania Samwel Sitta amefariki dunia akipokea matibabu nchini Ujerumani.


Spika Mstaafu wa Bunge la Tanzania Samuel Sitta mwezi Septemba, 2016.Image copyrightIKULU, TANZANIA
Image captionSpika Mstaafu wa Bunge la Tanzania Samuel Sitta mwezi Septemba, 2016.

Spika wa zamani wa bunge la Tanzania Samwel Sitta amefariki dunia akipokea matibabu nchini Ujerumani.
Bw Sitta alikuwa mbunge mstaafu wa jimbo la Urambo lililopo mkoani Tabora.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Ikulu, Bw Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Technical University of Munich nchini Ujerumani.
Amekuwa akipokea matibabu tangu mwezi uliopita.
Rais wa Tanzania John Magufuli ametuma salamu za rambirambi na kusema amepokea kwa mshtuko taarifa za kifo cha spika huyo.
"Nitamkumbuka Mzee Sitta kwa uchapakazi wake, uzalendo wake na tabia yake ya kusimamia ukweli katika kipindi chote alichokuwa kiongozi katika ngazi mbalimbali za siasa na Serikali," amesema Rais Magufuli.
Sitta alikuwa Spika wa Bunge kuanzia mwaka 2005 hadi mwaka 2010 na alikuwa pia Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba.

Rais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na Spika Mstaafu wa Bunge la Tanzania Samuel Sitta alipomtembelea kumjulia hali jijini Dar es Salaam Septemba, 2016.Image copyrightIKULU, TANZANIA
Image captionRais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na Spika Mstaafu wa Bunge la Tanzania Samuel Sitta alipomtembelea kumjulia hali jijini Dar es Salaam Septemba, 2016.

Aliwahi kuwa waziri katika wizara mbalimbali kwa vipindi tofauti.
Bw Sitta alikuwa miongoni mwa wanachama zaidi ya 42 wa CCM waliochukua fomu za kugombea urais mwaka j
Samuel Sitta
Samuel Sitta.png
Minister of Transport
In office
24 January 2015 – 5 November 2015
PresidentJakaya Kikwete
Preceded byHarrison Mwakyembe
4th Minister of East African Cooperation
In office
28 November 2010 – 24 January 2015
Preceded byDiodorus Kamala
Succeeded byHarrison Mwakyembe
5th Speaker of the National Assembly
In office
26 December 2005 – 16 July 2010
Preceded byPius Msekwa
Succeeded byAnne Makinda
Member of Parliament
for Urambo East
In office
December 2005 – July 2015
Preceded byAmani Karavina
Succeeded byMargaret Sitta
Personal details
Born
18 December 1942 (age 73)







Died 7th November 2016
NationalityTanzanian
Political partyCCM
Spouse(s)Margaret Sitta
Alma mater
IMEDE (AdvDip)
PositionsMD, Tanzania Investment Centre (1996-2005)

No comments