Header Ads

Watu 11 wafaliki dunia na watu 16 kujeruhiwa mara baada ya mtu mwenye bunduki kufyatulia risasi watu waliokuwa wakitazama mechi ya kandanda ya Ligi ya Premia katika mji ulio karibu na Juba, taarifa zinasema.

Watu 11 wafaliki dunia  na watu 16 kujeruhiwa  mara baada ya mtu mwenye bunduki kufyatulia risasi 
Watu 11 wafaliki dunia  na watu 16 kujeruhiwa  mara baada ya mtu mwenye bunduki kufyatulia risasi watu waliokuwa wakitazama mechi ya kandanda ya Ligi ya Premia katika mji ulio karibu na Juba, taarifa zinasema.

Image result for picha ya smg

Polisi wanachunguza tukio hilo , lakini kufikia sasa hawajabaini kilichochochea shambulio hilo.
Kisa hicho kilitokea katika mji wa Gure, katika viunga vya mji wa Juba, mji mkuu wa Sudan Kusini.
Mji huo mkuu ulikumbwa na ghasia tena mwezi Julai baada ya wanajeshi waaminifu kwa Rais Salva Kiir na Dkt Riek Machar, aliyekuwa makamu wa rais, kukabiliana.
Dkt Machar alifutwa kazi na kuikimbia nchi hiyo.

chanzo bbc

No comments