Chris Brown hatimaye ameshinda kesi dhidi ya shabiki wa kike
Chris Brown hatimaye ameshinda kesi dhidi ya shabiki wa kike
Msanii wa Rnb Chris Brown hatimaye ameshinda kesi dhidi ya shabiki wa
kike aliyevamia nyumba yake na kusema anampenda staa huyu na anataka
kumpa tendo la ndoa.
Mwanamke huyo ambaye anayefahamika kama Danielle Patti ambaye
alikamatwa mara ya kwanza nje ya nyumba ya Chris Brown December mwaka
jana na mnamo April mwaka huu alifanya tendo lingine la uvamiaji kwenye
nyumba ya Chris Brown na kukamatwa na polisi.
Hata ivyo Mahakama imempa adhabu ya kuka mbali na Chris Brown kwa
miaka mitano na kwa sasa dada huyu yupo kwenye hospitali ya wagonjwa wa
Akili chini ya ulinzi na uangalizi mkali wa Madaktari.
Post a Comment