J Plus ameachia filamu yake mpya ya iitwayo ‘The Foundation’.
Baada ya kimya cha miaka minne hatimaye staa wa filamu za mapigano
Bongo, Jimmy Mponda aka J Plus ameachia filamu yake mpya ya iitwayo ‘The
Foundation’.
Kwenye filamu hiyo amewashirikisha waigizaji kibao akiwemo bingwa wa
filamu hizo za mapigano Sebastian mwanangulo maarufu kwa jina la
Inspekta Seba.
“Naamini kuwa mlipenda sana filamu zangu zilizo pita like
‘Misukosuko’ Shamba kubwa, na zinginezo hivyo naomba muipokee “The
Foundation” coz ni kazi nzuri sana ukweli nimeitendea haki yake,” J Plus
ameiambia
Post a Comment